Sunday, 26 June 2016

WAZIRI WA KILIMO, MIFUGO NA UVUVI Mh. CHARLES TIZEBA AKIWA KATIKA ZIARA YA UZINDUZI NA MAKABIDHIANO YA LAMBO LA OLOYAPASEI - WILAYANI KITETO MKOANI MANYARA TAREHE 25.06.2016


MRADI HUU WA LAMBO HILI UNAUMUHIMU MKUBWA KATIKA SUALA ZIMA LA KUPUNGUZA CHANGAMOTO YA UPATIKANAJI WA MAJI KATIKA ENEO HILI KWA MATUMIZI YA MIFUGO.

PICHA ZA TUKIO HILI NI HIZI ZIFUATAZO:-


Waziri Mh. Charles Tizeba wakwanza kushoto katika eneo husika la Mradi huo wa Lambo 

Waziri Mh. Charles Tizeba wakwanza kushoto akipewa maelezo muhimu na Katibu Tawala Wilaya - Kiteto Bw. Stephano Ndaki.





Hili linaloonekana ni picha ya Lambo husika


No comments:

Post a Comment