Monday, 25 January 2016

MIRADI YA MAENDELEO KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA KITETO


UJENZI WA MAABARA KATIKA SHULE ZA SEKONARI


Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh. Dr. Joel Bendera akikagua ujenzi wa Maabara katika Wilaya ya Kiteto



Kaimu, Mkurugenzi wa Wilaya ya Kiteto Bw. Rajabu Chongowe watatu toka kushoto, Afisa Utumishi Wilaya wapili toka kushoto na wafanyakazi wa Kampuni ya Baypot Ltd wakipokea mifuko ya Saruji 20 toka Kampuni hiyo kama msaada katika kuendeleza Elimu - ujenzi wa Maaabara Wilayani Kiteto kwa mwaka 2015





SEKTA YA MAJI



Mtaalamu wa Idara ya Maji akitoa maelezo ya jinsi jenereta na mitambo ya maji inavyofanya kazi katika Mradi wa Maji Kona - Kata ya Kijungu.



MKUU WA MKOA WA MANYARA Dr. Joel Bendera akihutubia wananchi Kata ya Kijungu katika Sherehe za Wiki ya Maji iliyofanyika Kimkoa katika Wilaya ya Kiteto Kata ya Kijungu.


Wahisani wa Mradi wa BFFS kutoka Shirika la IFAD wakikagua Miradi ya Maji Vijijini.


Kiongozi wa Shirika la IFAD akizungumza na wananchi 



Mkuu wa Mkoa wa Manyara akimtwisha mama ndoo ya maji katika mradi wa maji wa Kona - Kijungu katika siku ya wiki ya maji akiwa na viongozi mbalimbali.



Tanki la maji Kijiji cha Loolera

SEKTA YA MIFUGO


Mifugo ikinywa maji katika Mbauti Kijiji cha Ilera Kitongoji cha Eseki


Mifugo ikisubiria maji Kitongoji cha Kona - Kata ya Kijungu




SEKTA YA AFYA
Mahindi yaliyovunwa yakiwa yameanikwa kabla ya kupukuchuliwa katika Kijiji cha Kimana








 Bustani za mbogamboga katika Banda la Maonyesho la H/M ya Kiteto lililopo Temi Njiro Arusha.


Shamba la Alizeti Kijiji cha Kiperesa




MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU MWAKA 2015













UTAMADUNI NA MICHEZO









SEKTA YA AFYA

Uzinduzi wa kampeni ya kuhamasisha wananchi katika Kata za Dosidosi, Magungu na Engusero kujiunga na Mfuko wa Bima ya Afya.








MRADI WA TASAF KUNUSURU KAYA MASKINI

Mkuu wa Mkoa wa Manyara Dr. Joel Bendera akizindua Mapango wa Ulipaji wa Kaya maskini katika Kata ya Kiperesesa.








Mkurugenzi Mtendaji (W) Bw. Bosco O. Ndunguru akizibdua Bodi ya TEHAMA (W) 



Mh. Waziri Mkuu Peter K. Pinda akikagua bidhaa katika banda la H/W ya Kiteto katika Kongamano la Uwekezaji lililofanyika Jijini Tanga





Mh. Waziri Mkuu Peter K. Pinda akikagua bidhaa katika banda la H/W ya Kiteto katika Kongamano la Uwekezaji lililofanyika Mkoani Manyara Mjini Babati.



Maonyesho ya wiki ya Maziwa Kitaifa yaliyofanyika Mkoani Manyara Mjini Babati ambayo yalifunguliwa na Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mh. Dr. Titus Kamani.










Kiwanda cha Maziwa Wilayani Kiteto


SEKTA YA UJENZI WA BARABARA

Ujenzi wa Barabara ya Lami katika Mji Mdogo wa Kibaya katika Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto kwa mwaka 2014










Mhandisi, Kastuli akikagua barabara husika

Mhandisi, Paulo akikagua barabara husika







No comments:

Post a Comment