KATIKA MAAZIMISHO HAYA MGENI RASMI ALIKUWA NI MKUU WA WILAYA YA KITETO Mh. COL. S. NZOKA ALIYEAMBATANA NA VIONGOZI MBALIMBALI WA SERIKALI NA TAASISI ZISIZO ZA KISERIKALI.
KWA UJUMLA SHEREHE HIZI ZILIFANA KWELI KWELI ZILIZOSHEHENI BURUDANI ZA AINA YAKE AMBAZO ZILIWASILISHA UJUMBE KWA SERIKALI NA WANANCHI TOKA KATIKA MAKUNDI MBALIMBALI YA MICHEZO KAMA IFUATAVYO:-
Picha ya kwanza ni MKUU WA WILAYA YA KITETO
Mh. Col. S.Nzoka
 |
Katibu Tawala (W) Bw. Ndaki Stephano akiwa katika kujitambulisha na kuwasalimia wananchi na wafanyakazi waliohudhuria Sherehe za Mei Mosi 2016
| | | |
|
 |
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto Mh. Lairumbe Mollel akiwa katika kujitambulisha na kuwasalimia wananchi na wafanyakazi waliohudhuria Sherehe za Mei Mosi 2016
|
 |
Makamu M/Kiti wa H/W - Kiteto Mh. Yahya Masumbuko akiwa katika kujitambulisha na kuwasalimia wananchi na wafanyakazi waliohudhuria Sherehe za Mei Mosi 2016
|
 |
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji (W) Kiteto Bw. Raphael Makoninde akiwa katika kujitambulisha na kuwasalimia wananchi na wafanyakazi waliohudhuria Sherehe za Mei Mosi 2016
|
HAWA NI WANAFUNZI NA WATUMISHI MBALIMBALI WA TAASISI ZA SERIKALI NA ZISIZO ZA KISERIKALI WA WILAYA YA KITETO WAKIWA KWENYE MAANDAMANO YA MEI MOSI KUELEKEA UWANJA MKUU WA MPIRA WA WILAYA - KITETO
Viongozi Waandamizi na wageni waalikwa mbalimbali wakiwa wamekaa katika jukwaa kuu.
Wanafunzi wa Shule za Sekondari Kiteto wakionesha mazoezi ya SKAUTI
Kwaya ya Waalimu wa Shule ya Msingi Kaloleni wakiwa wanaingia wakiongozwa na Mwalimu Nestory .
Kikundi cha Tarumbeta wakitoa burudani
Waalimu wa Shule ya Msingi Kibaya wakiwa wanaghani Utenzi.
Kikundi cha Watumishi wa BOMANI wakiimba Shairi
Mwal. Shule ya Msingi Kibaya akikabidhi Utenzi
kwa Mgeni Rasmi.
Hadhira iliyojitokeza kwenye maazimisho ya Mei Mosi 2016
Waimbaji wa Shairi tika Idara ya Afya wakiwa wanaingia
Hadhira iliyojitokeza kwenye maazimisho ya Mei Mosi 2016
Mwakililishi wa TUICO Tawi la Kibaya akitoa salaam.
Katibu wa Mei Mosi 2016 Bi. Zahara Goda akisoma Risala.
Katibu wa Mei Mosi 2016 Bi. Zahara Goda akikabidhi Risala kwa Mgeni Rasmi.
Mmoja wa Wafanyakazi Hodari Idara ya Mifugo Bw. Nicomedi S. Bayo akipokea Cheti na Zawadi ya ufanyakazi Hodari
Mfanyakazi Hodari Idara ya Utawala Bw. Muya
Mfanyakazi Hodari toka Mamlaka ya Maji Kibaya - Kiteto
Mfanyakazi Hodari toka Idara ya Mipango
Bw. Lendukush Keiya
Mfanyakazi Hodari toka Serikali Kuu Bw. Said S. Mganga
Mfanyakazi Hodari toka Idara ya Ardhi, Maliasili na Mazingira Bw. Maurice Humo
Mfanyakazi Hodari toka Idara ya Fedha Bw. Daniel Mollel
Mfanyakazi Hodari toka Kitengo cha TEHAMA
Bi. Zahara A. Goda
Bi. Zahara A. Goda akipongezwa na Wafanyakazi wenzake baada ya kutunukiwa Cheti na Zawadi ya wafanyakazi Hodari
Mwakilishi wa AWABOMA SACCOS akipokea Hati ya utambuzi kwa kufanikisha shughuli za Mei Mosi 2016
Mheshimiwa Diwani Yahya Masumbuko (CCM) akipokea Hati ya utambuzi ya ushiriki katika kufanikisha shughuli za
Mei Mosi 2016
Mheshimiwa Bibi. Zamzam Msabi (Diwani viti Maalumu Chadema) akipokea Hati ya utambuzi ya ushiriki katika kufanikisha shughuli za Mei Mosi 2016
Kaimu Mkurugenzi Halmashauri (W) ya Kiteto Bw. Raphael Makoninde akipokea Hati ya utambuzi ya ushiriki katika kufanikisha shughuli za Mei Mosi 2016
Mgeni Rasmi (Mh. Col. S. Nzoka) akiwa na viongozi Wilaya wa vyama vya wafanyakazi.
Mgeni Rasmi (Mh. Col. S. Nzoka) akikabidhi Zawadi ya Mabati kwa Wastaafu wa Halmashauri Idara ya Elimu. Huyu anyekabidhiwa ni Afisa Elimu Mstaafu Bw. Lwiva akipokea Bati hizo.
Mgeni Rasmi (Mh. Col. S. Nzoka) akihutubia wananchi katika siku kuu ya Mei Mosi 2016
Mgeni Rasmi akikabidhi zawadi kwa Mshindi wa Mchezo wa kukimbiza kuku ambaye ni Mwl. Mwayika
Mwl. wa Michezo Mwanyika akiwaongoza Vijana wa Sarakasi
Watumishi wa Serikali Kuu na Serikali za Mitaa wakishindana mchezo wa kuvuta kamba
Mgeni Rasmi Mgeni Rasmi (Mh. Col. S. Nzoka) akikagua timu za Netiboli katika uwania wa Mpira Kibaya
Mgeni Rasmi Mgeni Rasmi (Mh. Col. S. Nzoka) akikagua timu za Mpira wa Miguu katika uwania wa Mpira Kibaya
Mgeni Rasmi Mgeni Rasmi (Mh. Col. S. Nzoka) akikabidhi zawadi kwa washindi wa mpira wa miguu
Mgeni Rasmi Mgeni Rasmi (Mh. Col. S. Nzoka) akikabidhi zawadi kwa washindi wa Netiboli
Mgeni Rasmi Mgeni Rasmi (Mh. Col. S. Nzoka) akikabidhi zawadi kwa washiriki wa kikundi cha Sarakasi.
Mgeni Rasmi Mgeni Rasmi (Mh. Col. S. Nzoka) akikabidhi zawadi kwa washiriki wa Igizo
No comments:
Post a Comment